
‘NAHODHA’
SUAREZ AIONGOZA LIVERPOOL KUIBONDA SPURS 5-0!
Luis Suarez, hapo jana akivaa utepe wa
Nahodha, aliifungia Liverpool Bao 2 walipoibonda Tottenham waliokuwa kwao White
Hart Lane Bao 5-0 na kuikamata Nafasi ya Pili ya Ligi Kuu England wakiwa Pointi
2 tu nyuma ya Vinara Arsenal.
Wakiwa Bao 2 nyuma, Kiungo wa
Tottenham, Paulinho, alipewa Kadi Nyekundu kwa kuinua Mguu juu uliompiga Suarez
kifuani na hali hiyo ilitoa mwanya kwa Liverpool kufunga Bao nyingine 3.
Bao za Liverpool zilifungwa na Suarez,
Dakika ya 18 na 84, Henderson, Dakika ya 40, Flanagan, Dakika ya 75 na Raheem
Sterling, Dakika ya 89.
Ushindi huu umewafanya Liverpool wawe
na Pointi 33, sawa na Chelsea, lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli wakati
Arsenal wako kileleni wakiwa na Pointi 35 huku Timu zote zikiwa zimecheza Mechi
16.
Tottenham, ambao walifanya usajili wa
gharama kubwa mno unaofanana na Man City, sasa wapo Nafasi ya 7 na wamekuwa wakipata
matokeo yasiyoridhisha hali ambayo inazidisha presha kwa Meneja wao Andre
Villas-Boas.
VIKOSI:
TOTTENHAM: Lloris; Walker, Capoue, Dawson, Naughton; Paulinho, Sandro;
Lennon, Dembele, Chadli; Roberto Soldado.
Akiba: Brad Friedel, Fryers, Holtby, Lamela,
Townsend, Sigurdsson, Defoe.
LIVERPOOL: Mignolet, Flanagan, Sakho, Skrtel, Johnson, Allen, Lucas,
Henderson, Sterling, Coutinho, Suarez
Akiba: Jones, Kelly, Agger, Toure,
Moses, Aspas, Alberto.
MSIMAMO:
TIMU
|
P
|
GD
|
PTS
|
1 Arsenal
|
16
|
16
|
35
|
2 Liverpool
|
16
|
21
|
33
|
3 Chelsea
|
16
|
14
|
33
|
4 Man City
|
16
|
29
|
32
|
5 Everton
|
16
|
12
|
31
|
6 Newcastle
|
16
|
-1
|
27
|
7 Tottenham
|
16
|
-6
|
27
|
8 Man United
|
16
|
6
|
25
|
9 Southampton
|
16
|
5
|
24
|
10 Swansea
|
16
|
1
|
20
|
11 Aston Villa
|
16
|
-5
|
19
|
12 Hull
|
16
|
-6
|
19
|
13 Stoke
|
16
|
-5
|
18
|
14 Norwich
|
16
|
-14
|
18
|
15 Cardiff
|
16
|
-10
|
17
|
16 West Brom
|
16
|
-5
|
15
|
17 West Ham
|
16
|
-6
|
14
|
18 Crystal Palace
|
16
|
-13
|
13
|
19 Fulham
|
16
|
-15
|
13
|
20 Sunderland
|
16
|
-18
|
9
|
RATIBA MECHI ZIJAZO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Desemba 21
1545 Liverpool v Cardiff
1800 Crystal Palace v Newcastle
1800 Fulham v Man City
1800 Man United v West Ham
1800 Stoke v Aston Villa
1800 Sunderland v Norwich
1800 West Brom v Hull
Jumapili Desemba 22
1630 Southampton v Tottenham
1900 Swansea v Everton
Jumatatu Desemba 23
2300 Arsenal v Chelsea
Alhamisi Desemba 26
1545 Hull v Man United
1800 Aston Villa v Crystal Palace
1800 Cardiff v Southampton
1800 Chelsea v Swansea
1800 Everton v Sunderland
1800 Newcastle v Stoke
1800 Norwich v Fulham
1800 Tottenham v West Brom
1800 West Ham v Arsenal
2030 Man City v Liverpool
Jumamosi Desemba 28
1545 West Ham v West Brom
1800 Aston Villa v Swansea
1800 Hull v Fulham
1800 Man City v Crystal Palace
1800 Norwich v Man United
2030 Cardiff v Sunderland
Jumapili Desemba 29
1630 Everton v Southampton
1630 Newcastle v Arsenal
1900 Chelsea v Liverpool
1900 Tottenham v Stoke
Jumatano Januari 1
1545 Swansea v Man City
1800 Arsenal v Cardiff
1800 Crystal Palace v Norwich
1800 Fulham v West Ham
1800 Liverpool v Hull
1800 Southampton v Chelsea
1800 Stoke v Everton
1800 Sunderland v Aston Villa
1800 West Brom v Newcastle
SERIE
A: TEVEZ APIGA HETITRIKI, JUVE IKO 6 MBELE KILELENI!

AS Roma wao wanacheza Jumatatu Usiku
Ugenini huko San Siro dhidi ya AC Milan.
Tevez alifunga Hetitriki yake katika
Dakika za 15, 45 na 68 na Bao jingine kufungwa na Peluso katika Dakika ya 28.
SERIE A:
MSIMAMO-Timu za Juu
|
|||||||||
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
|
Juventus FC
|
16
|
14
|
1
|
1
|
35
|
10
|
25
|
43
|
|
AS Roma
|
15
|
11
|
4
|
0
|
29
|
5
|
24
|
37
|
|
SSC Napoli
|
15
|
10
|
2
|
3
|
31
|
17
|
14
|
32
|
|
ACF Fiorentina
|
16
|
9
|
3
|
4
|
32
|
20
|
12
|
30
|
|
Inter Milan
|
15
|
7
|
7
|
1
|
34
|
17
|
17
|
28
|
|
Hellas Verona
|
16
|
8
|
2
|
6
|
27
|
25
|
2
|
26
|
|
Baadae leo, Napoli, ambao wako Nafasi
ya Tatu wakiwa na Pointi 11 nyuma ya Juve, wataikaribisha Inter Milan ambao
wako Nafasi ya 5 Pointi 4 nyuma ya Napoli.
VIKOSI:
Juventus: Buffon; Barzagli, Bonucci, Chiellini; Isla, Vidal, Pogba,
Asamoah, Peluso; Tevez, Llorente
Sassuolo: Pegolo; Marzorati, Bianco, Antei; Gazzola, Marrone,
Magnanelli, Kurtic, Longhi; Missiroli, Floro Flores
Refa: Bergonzi
SERIE A
RATIBA/MATOKEO:
[Saa za Bongo]
Jumamosi Desemba 14
Calcio Catania 0 Hellas Verona 0
Jumapili Desemba 15
AC Chievo Verona 0 UC Sampdoria 1
SS Lazio 2 AS Livorno Calcio 0
Udinese Calcio 0 Torino FC 2
Genoa CFC 1 Atalanta BC 1
ACF Fiorentina 3 Bologna FC 0
Juventus FC 4 US Sassuolo Calcio
0
22:45 SSC Napoli v Inter Milan
Jumatatu Desemba 16
22:45 AC Milan v AS Roma

BUNDESLIGA:
LEVERKUSEN YAPIGWA MARA YA KWANZA KWAO!
>>YABAKI NAFASI
YA PILI, POINTI 7 NYUMA YA BAYERN MUNICH!
Goli la Dakika ya 61 la Marco Russ
limewapa ushindi wa Bao 1-0 Eintracht Frankfurt waliokuwa wakicheza Ugenini Bay
Arena na Bayer Leverkusen na hiki ni kipigo cha kwanza kwa Leverkusen Nyumbani
kwao Msimu huu kwenye Bundesliga.
Kipigo hiki kimewafanya Bayer
Leverkusen, ambao wako Nafasi ya Pili, wabaki Pointi 7 nyuma ya Vinara Bayern
Munich ambao Jumamosi waliichapa Hamburger Bao 3-1.
Nafasi ya Tatu inashikiliwa na Borussia
Dortmund ambao wako Pointi 5 nyuma baada ya Jumamosi kutoka 2-2 na Hoffenheim.
Bundesliga imebakisha Raundi moja ya
Mechi za Wikiendi ijayo kabla haijaenda Vakesheni ya Krismasi na Mwaka mpya na
kurejea tena Januari 24.
MATOKEO:
Ijumaa Desemba 13
Hertha Berlin 3 SV Werder Bremen 2
Jumamosi Desemba 14
Bayern Munich 3 Hamburger 1
Hannover 3 FC Nuremberg 3
FSV Mainz 0 Borussia Mönchengladbach 0
TSG Hoffenheim 2 BV Borussia Dortmund 2
FC Augsburg 4 Eintr. Braunschweig 1
VfL Wolfsburg 3 VfB Stuttgart 1
Jumapili Desemba 15
Schalke 2 SC Freiburg 0
Bayer 04 Leverkusen 0 Eintracht
Frankfurt 1
MSIMAMO-Timu za Juu:
[Kila Timu imecheza
Mechi 16]
1 Bayern Munich Pointi 44
2 Bayer 04 Leverkusen 37
3 BV Borussia Dortmund 32
4 Borussia Mönchengladbach 32
5 VfL Wolfsburg 29
6 Schalke 27
7 Hertha Berlin 25
RATIBA MECHI ZA MWISHO KABLA MAPUMZIKO:
[Ligi kuanza tena
Januari 24]
Desemba 20
Eintracht Frankfurt v FC Augsburg
Desemba 21
BV Borussia Dortmund v Hertha Berlin
Hamburger SV v FSV Mainz 05
SV Werder Bremen v Bayer 04 Leverkusen
SC Freiburg v Hannover 96
Eintr. Braunschweig v TSG Hoffenheim
FC Nuremberg v Schalke 04
Desemba 22
Borussia Mönchengladbach v VfL
Wolfsburg

No comments:
Post a Comment