Kimbunga nchini Marekani chasababisha
uharibifu mkubwa
Kimbunga kikali kimeyakumba maeneo
kadha ya Marekani, kikiharibu majengo na magari katika majimbo ya Illinois,
Indiana na Kentucky.
Watu wapatao watano
wameuawa katika kimbunga hicho na inahofiwa kuwa mamia ya watu huenda
wamejeruhiwa katika kimbunga hicho kikali.
Idadi kubwa ya watu
wanasemekana kunasa katika majengo.
Wataalam wa hali ya hewa wanasema kimbunga hicho kitaathiri watu milioni 53 katika maeneo hayo(Chanzo BBC swahili)
Wataalam wa hali ya hewa wanasema kimbunga hicho kitaathiri watu milioni 53 katika maeneo hayo(Chanzo BBC swahili)

No comments:
Post a Comment