![]() |
| Ngassa akiwa kimahaba na Snura. |
Staa wa sinema na muziki Bongo, Snura Anton Mushi na Kiungo Mshambuliaji wa
Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa wamenaswa ‘laivu’ wakiwa kimahaba, Amani lina
mkanda kamili.
Kwa mujibu wa mnyetishaji wetu, tukio hilo lililijiri hivi karibuni nyumbani kwa Snura maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam ambapo wawili hao walibambwa wakiwa wamejiachia ‘wakifanya yao’.
Mnyetishaji huyo alidai kuwa wawili hao walikuwa wakiminyana bila kujali macho ya watu waliokuwa wakifika nyumbani kwa Snura hasa marafiki na majirani zake.

...Wakiwa katika pozi.
|
CHANZO:GlobalPublishers

No comments:
Post a Comment