Wanafunzi wa madarasa ya Pre-Form One na Masomo ya ziada kutoka kituo vha
Elimu cha CONFORT EDUCATION CENTRE kilichoko Majani Mapana jijini Tanga wamefanya
ziara mafunzo katika jumba la Makumbusho jijini hapa ambapo pamoja na mambo
mengine walipata fursa ya kujionea zana mbalimbali za kale zilizo hifadhiwa
katika Jumba hilo la Urithiwa Mambo lake.
| Mwl Manyilizu akiwaanda Wanafunzi kuingia kwenye Jumba la Makumbusho |
| Baadhi ya Wanafunzi |
| Wakipata maelezo kuhusu mambo kale kutoka kwa Muongozaji Bi Khadija Mustafa (Kushoto) |
| Mwl akimsaidia Mwanafunzi kuona zana za kale |
| Muongoza wageni wa Jumba hilo Bi Khadija Mustafa |
| Picha ya pamoja baada ya kumaliza ziara |
| Mwl David Manyilizu akizungumza na Mtandao huu daaba ya Kumaliza ziara hiyo |
No comments:
Post a Comment