HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Saturday, 9 November 2013

HUZUNI YATAWALA WANAPONGWE MAZISHI YA DK THOMAS HIZZA

Mamia ya waombolezaji kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tanga na Vitongoji vyake walikusanyika katika Makaburi ya Kituo cha Afya Pongwe mnamo Nov 08 kuhudhuria mazishi ya Daktari wa Muda mrefu aliekuwa akihudumia wagonjwa kwa Upendo wa hali ya juu na huduma bora katika zahanati yake maarufu iliyoko karibu na stendi ya mabasi ya Pongwe Dk Thomas Hizza.






PUMZIKA KWA AMANI DK HIZZA


Mtumishi wa Mungu kutoka wa Kanisa la TAG la Pongwe Mch LUCAS MBUGI akitoa neno wakati wa Mazishi

Umati wa Waombolezaji

Ndugu na Jamaa wakiweka mashada ya Maua kwenye kaburi

Dk Mumba na Mkewe wakiweka Mashada ya Maua

Mke wa Marehemu akiweka shada la Maua

Mtoto wa Kike wa Marehemu akisaidiwa kuweka shada la Maua

Mtoto Mkubwa wa Marehemu Dk Hiza "GEORGR HIZZA"

Ndugu wakiweka Mishumaa


No comments:

Post a Comment