HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Sunday, 27 October 2013





EL SHAARAWY



MSHAMBULIAJI nyota wa klabu ya AC Milan, Stephen El Shaarawy amedai kutaka kuondoka katika klabu hiyo kwenda kusaka maisha mapya katika timu nyingine ili aweze kupata nafasi ya kucheza.

Uamuzi wa kinda huyo mwenye miaka 20 unazifanya klabu za Chelsea, Tottenham Hotspurs na Arsenal kuingia vitani lakini Liverpool inaelezwa ndio wana nafasi kubwa zaidi ya kumnyakuwa nyota huyo.
  
El Shaarawy ambaye alifunga mabao 16 msimu uliopita lakini sasa amekuwa akipata wakati mgumu kupata namba katika kikosi cha kwanza toka Mario Balotelli atue San Siro. Wamiliki wa Liverpool wanapanga mipango ya kununua wachezaji wadogo na El Shaarawy anaonekana kuwemo kwenye mipango hiyo.


No comments:

Post a Comment