![]() |
| Kaimu katibu Mkuu wa timu ya Coastal Union ya Tanga Salimu Bawaziri kushoto akiwa na msemaji wa klabu hiyo Oscar Asenga |
Kaimu katibu Mkuu wa timu ya Coastal Union ya Tanga Salimu Bawaziri jana ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo ni baada ya kuona muda wa kufanya hivyo umefika.
Bawaziri amesema hayo jana baada ya kumalizika kwa uchanguzi wa viongozi wa chama cha waanuzi Mkoa wa Tanga (FRATI) katika uwanja wa Mkwakwani.
Aidha Bawaziri amesema atakuwa akitoa ushauri wa maendeleo ndani ya timu pindi atapokuwa unakitajika .

No comments:
Post a Comment