HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Tuesday, 12 July 2016

WAFANYABIASHARA TANGA WATAKIWA KUTUMIA VIPIMO VILIVYO PITISHWA NA SERIKALI.



Na Saidi Kileo.TANGA
Wafanyabiashara kwa kushirikiana na Wakulima Wamekumbushwa kutumia Vipimo na ujazo sahihi ambavyo vimepitishwa na Wakala Wa vipimo ili kuepusha wizi unaofanywa kwa wateja kupitia vipimo holela.


Wito huo umetolewa na Meneja Wakala Wa Vipimo Mkoa Wa Tanga  Lucas Mosha  ofisini kwake wakati akifanya mahojiano namwandishi wetu amesema Taasisi ya Uma nyenye dhumuni la kumlinda Mkulima na Mlaji ambae anafanya biashara kwakumpatia elimu juu ya kutumia vipimo ambavyo ni  kipimo sahihi kulingana na kanuni .

Pia Meneja Mosha amesema Taassisi imekuwa ikitoa elimu juu ya matumizi sahihi ya Vipimo  bora kwa Wakulima juu ya ufungashaji kwakutumia Viongozi Wa serikali za vijiji ili kuweza kuisaidia mkulima kupata maendeleo kutokana na bidhaa anayo uza kwa kupata maendeleo pamoja na serikali kukusanya ushuru kwa maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo Meneja Mosha amesema Wafanyabiashara ambao wamekuwa wanakiuka kanuni za Vipimo wakati wa kusafirisha hivyo chanzo cha kuhalibu Magari kwa yamekuwa yanabeba zaidi na Miundombinu ya Barbara kwakusafirisa magunia ambayo yamezidi kilomia kwa kuongeza vilemba maarufu (Lumbesa)

Aidha Mosha amewataka wafanyabiashara  kuwacha tabia ya kufanyabiashara halamu ya kujaza zaidi ya Vipimo atachukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kulipa faini.

No comments:

Post a Comment