Watu 11 wameripotiwa kufariki dunia wakiwemo maderewa wawili baada ya
basi la abiria la Simba mtoto lililokuwa linaenda jijini Dar es Salaam
kupata ajali kwa kugongana uso kwa na lori katika kijiji cha Pangamlima Barabara
ya Tanga-Segera mapema asubuhi ya leo.
Miongoni mwa watu waliothibitika kupoteza maisha ni kondakta wa muda mrefu wa kampuni hiyo ajulikanae kama FRE.
Basi hilo liliondoka Tanga saa 12 asubuhi ya leo na ni gari wanalopenda wafanyabiashara wengiwa Tanga.
Imeelezwa kuwa wengine 26 wamejeruhiwa vibaya. Chanzo cha Ajali hiyo inasemekana ni mwendo kasi, huku Lori likiwa katika harakati za kulipita gari la mbele..
HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA
....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

.....tumia fursa yako vizuri....
Pages
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment