WITO umetolewa
kwa watanzania kumtegemea sana mungu iliwapate baraka na amani kuliko
kukumbatia mali na anasa za dunia hii
ambazo azitatufikisha kwenye uzima wa milele.
Rai
hiyo imetolewa na mchungaji Justine Kaholo wa kanisa la dipa life lililopo eneo
la Chuda katika jiji la tanga alipoongea na akizungumza na mwandishi wetu
ofisini kwake.
Amesema
watu wanakosa kudhamini na kuwajari wenzao kwa sababu ya mali na pesa ambazo
zinapita kwamuda tu ila kuonesha matendo mema na uwanaupendo kwa majirani na
marafiki itakuwa ni baraka kwa mungu na utakuwa unatekeleza maagizo kwa mungu
ya dugu kuishi kwa upendo, furaha na amani daima.
Katika hatua nyingine mchungaji Kaholo amewataka watanzania kuishi kwa upendo ilikuepusha
migongano na machafuko ya kila aina dani ya jamii kwa kumtegemea mungu kwa kila
jambo wanalo taka kufanya sikuzote.
Naye mwalimu Aneth Chandeu na Mery
Msuya wote wakazi wa Tanga mjini wamewataka wanajamii kuwa na hofu ya mungu
iliwaweze kuishi maisha safi na yenye furaha endapo vijana, wazazi na walezi
wote wakionyesha mfano kwa watoto iliwaweze kuifuata njia ya kumfuata mungu aliye chanzo na kimbilio la
mwanadam.
No comments:
Post a Comment