HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 8 December 2014

MICHEZAO: MESSI AMFUKUZIA RONALDO KWA KASI "APIGA 3 BARCA IKIUA 5-1"



Lionel Messi Jana Usiku alipiga Hetitriki wakati Barcelona inaichapa Espanyol Bao 5-1 na kurejea kwenye Nafasi ya Pili kwenye La Liga wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Real Madrid.
Espanyol ndio waliotangulia kufunga kwa Bao la Sergio Garcia lakini Messi, mwenye Miaka 27, alisawazisha kabla ya Haftaimu na kupiga Bao la Pili Kipindi cha Pili na kisha Gerard Pique akafunga kwa Kichwa Bao la 3.

Bao la 4 lilifungwa na Pedro na Messi kumalizia Bao la 5.
Hii ni Hetriki ya 21 kwa Messi kwenye La Liga ikimweka nyuma ya Cristiano Ronaldo ambae Juzi alipiga Hetriki walipoichapa Celta Vigo 3-0 na kushika Rekodi ya kuwa mpiga Hetriki nyingi katika Historia ya La Liga.

Messi Msimu huu amefunga Jumla ya Mabao 20 katika Mechi 19 ambazo ni Bao 13 kwenye La Liga lakini hamfikii Ronaldo ambae sasa ana jumla ya Mabao 29 kwa Mechi 21 huku 23 zikiwa kwenye Mechi 13 za La Liga.

VIKOSI:
Barcelona (Mfumo 4-3-3): Bravo; Alves, Pique, Mascherano, Alba; Busquets, Xavi, Rakitic; Suarez, Messi, Neymar.
Espanyol (Mfumo 4-2-3-1): Casilla; Arbilla, Alvaro, Eric, Fuentes; Canas, Victor Sanchez; Lucas, Salva Sevilla, Sergio Garcia; Caicedo.
REFA: IGNACIO IGLESIAS

RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 6
Elche 0 Atletico Madrid 2
Athletic Bilbao 0 Cordoba 1
Real Madrid 3 Celta Vigo 0
Deportivo 0 Malaga 1
Jumapili Desemba 7
Rayo Vallecano 0 Sevilla 1
Barcelona 5 Espanyol 1
Villarreal 4 Sociedad 0
Granada 1 Valencia 1
Jumatatu Desemba 8
1900 Eibar v Almeria
2100 Levante v Getafe

Spain - Premier
#
Team
MP
W
D
L
D
P
1
Real Madrid
14
12
0
2
+39
36
2
Barcelona
14
11
1
2
+29
34
3
Atlético Madrid
14
10
2
2
+15
32
4
Sevilla
14
9
2
3
+8
29
5
Valencia
14
7
4
3
+12
25
6
Villarreal
14
7
3
4
+9
24
7
Málaga
14
7
3
4
+3
24
8
Celta de Vigo
14
5
5
4
+1
20
9
Athletic Club
14
5
3
6
-3
18
10
Rayo Vallecano
14
5
2
7
-9
17
11
Eibar
13
4
4
5
-5
16
12
Espanyol
14
3
5
6
-7
14
13
Getafe
13
4
2
7
-8
14
14
Real Sociedad
14
3
4
7
-5
13
15
Granada
14
2
6
6
-15
12
16
Levante
13
3
3
7
-18
12
17
Almería
13
2
4
7
-6
10
18
Córdoba
14
1
7
6
-11
10
19
Deportivo
14
2
4
8
-12
10
20
Elche
14
2
4
8
-17
10

No comments:

Post a Comment