KATIKA kufikia kilele cha maadhimisho ya
sikukuu ya ukimwi duniani wakazi wa TANGA wametakiwa kuwahi mapema kupima afya zao waweze kujitambua ili kusaidia mapambano
ya kufikia maambukizi mapya sifuri.
Rai hiyo ameitoa mratibu wa kudhibithi
Ukimwi wilayani Tanga DKT.Joram Theobald wakati akizungumza kwenye kilele cha
maadhimisho hayo yaliyofanyika jana Dec 1 wilayani hapa.
Nao washiriki wa maadhimisho hayo waliopata
fursa ya kupima afya zao wamejivunia hatua hiyo na kuiona kuwa ni ya ushaa
ambayo kila mmoja anatakiwa kujivunia.
No comments:
Post a Comment