Mama yake Kim
Kardashian, Kris Jenner akiwa na aliyekuwa mumewe waliodumu naye kwa miaka 22
Bruce Jenner.
|
Mama yake Kim Kardashian, Kris Jenner amepata mpenzi mpya “Serengeti
Boy” baada ya kuachana na mume wake Bruce Jenner.
Mwezi Oktoba 2013, Bruce alitangaza kwamba wataachana baada ya kuwa na
watoto wawili Kendall na Kylie pamoja.
Miezi 11 baadae, Kris aliandika talaka baada kushindwa kumaliza tofauti
zao na ndoa yao kuota mbawa baada ya miaka 22.
Kris
Jenner 59, akiwa na mpenzi wake mpya Corey Gamble ‘Serengeti Boy’33.
|
Corey Gamble ni meneja wa barabara na pia ni mmoja wa watu wa karibu wa
Justin Beiber.
No comments:
Post a Comment