RATIBA
**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku
**Saa za Bongo
Jumatano Oktoba 22
KUNDI A
Atlético Madrid v Malmö FF
Olympiakos v Juventus
KUNDI B
Liverpool v Real Madrid
Ludogorets Razgrad v FC Basel
KUNDI C
Bayer 04 Levserkusen v Zenit St Petersburg
Monaco v Benfica
KUNDI D
Galatasaray v Borussia Dortmund
RSC Anderlecht v Arsenal
+++++++++++++++++++++++++++++

IFUATAYO NI TATHMINI KWA MECHI ZA JUMANNE
ZA MAKUNDI A, B, C na D:
KUNDI A
Atlético Madrid v Malmö FF
Olympiakos v Juventus
Hili Kundi kila Timu ina Pointi 3 baada ya kushinda Mechi 1 na Kufungwa 1 na hili inafanya Mechi hizi za Tatu kuwa kama ndio Fainali kwao.
KUNDI B
Ludogorets Razgrad v FC Basel
Liverpool v Real Madrid
Hii ni Mechi ambayo inatupiwa jicho sana hasa kwa vile inakutanisha Vigogo wenye majina makubwa katika Historia ya Soka Barani Ulaya.

Real Madrid, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Ulaya, wanatua Anfield wakiwa Vinara wa Kundi A wakiwa wameshinda Mechi zao zote mbili na Liverpool wapo Nafasi ya 3 baada ya kushinda moja na kufungwa na FC Basel.
Kihistoria, Real haijawahi kuifunga Liverpool kwenye Mashindano ya Klabu Barani Ulaya kwa kukutana mara 3 na zote Liverpool kushinda na mara ya mwisho ilikuwa Msimu wa 2008/09 kwenye Mashindano haya ambapo Liverpool walishinda 1-0 huko Spain na kuitwanga Real 4-0 Uwanjani Anfield katika Marudiano.
Lakini Real ya sasa si lele mama na inaongozwa na Mchezaji bora Duniani, Cristiano Ronaldo, na Mfungaji Bora wa Fainali za Kombe la Dunia huko Brazil Mwaka huu, James Rodriguez, na pia wanae Mchezaji Ghali Duniani, Garreth Bale, ambae, hata hivyo, kuna hatihati kama atacheza kwa vile ana maumivu.
Kuelekea kwenye Mechi hii, Real walishinda Mechi yao ya La Liga hapo Jumamosi kwa kuichapa 5-0 Levante na Ronaldo kufunga Bao 2 na Liverpool kushinda Mechi yao ya Ligi Kuu England kwa mbinde kwa Bao 3-2 dhidi ya Timu ya mkiani QPR huku Bao la ushindi likifungwa Dakika za Majeruhi kwa QPR kujifunga wenyewe.
Vikosi vinatarajiwa kuwa:
Liverpool: Mignolet; Johnson, Skrtel, Lovren, Enrique; Allen, Henderson, Gerrard; Sterling, Balotelli, Lallana
Real Madrid: Casillas; Carvajal, Ramos, Pepe, Marcelo; Modric, Kroos, Isco; James, Benzema, Ronaldo
REFA: Nicola Rizzoli (Italy)
KUNDI C
Bayer 04 Levserkusen v Zenit St Petersburg
Monaco v Benfica
AS Monaco na Zenit St Petersburg zipo kileleni zikiwa na Pointi 4 kila mmoja baada ya kushinda Mechi 1 na Sare 1 wakifuatiwa na Bayer 04 Levserkusen wenye Pointi 3 baada ya kushinda Mechi moja na kufungwa moja.
Benfica wako mkiani kufuatia kufungwa Mechi zao zote mbili.
KUNDI D
Galatasaray v Borussia Dortmund
RSC Anderlecht v Arsenal
Arsenal wanaingia Uwanjani huko Belgium wakitaka ushindi watakapocheza na Anderlecht kwenye Mechi yao ya 3 ya Kundi baada ya kuanza kwa kutwangwa 2-0 na Borussia Dortmund huko Germany na kisha kuifunga Galatasaray 4-1 huku Danny Welbeck akipiga Hetitriki Uwanjani Emirates.
Hata hivyo ushindi huo uliwapa
dosari Arsenal baada ya Kipa wao Wojciech Szczesny kutolewa nje kwa Kadi
Nyekundu na hivyo ataikosa Mechi hii.
Kawaida Arsenal wangemchezesha Kipa Namba mbili David Ospina lakini nae ni Majeruhi na hivyo watalazimika kumtumia Emiliano Martinez ambae hajawahi kucheza.
Lakini habari njema kwa Arsenal ni kupona kwa Mastaa wao Aaron Ramsey na Theo Walcott ambao huenda wakacheza au kuanza Benchi.
Anderlecht itamkosa Kiungo wao wa France Fabrice N'Sakala ambae ameumia Goti.
Arsenal washacheza Mechi mara 3 huko Belgium na kushinda mara mbili na mara pekee waliyofungwa ni kwenye Raundi ya Pili ya UEFA CUP Mwaka 1981 walipopigwa na KFC Winterslag.
Anderlecht wao wameshawahi kucheza na Klabu za Uingereza mara 28 na kushinda Mechi 6 tu.
Vikosi vinatarajiwa kuwa:
Anderlecht: Proto; Vanden Borre, Mbemba, Heylen, Deschacht; Defour, Tielemans; Najar, Praet, Suarez; Mitrovic
Arsenal: Martinez; Monreal, Mertesacker, Chambers, Gibbs; Flamini, Ramsey, Wilshere; Sanchez, Cazorla; Welbeck
REFA: Carlos Velasco Carballo (Spain)

UEFA CHAMPIONZ LIGI
MSIMAMO
KUNDI A
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Club
Atlético de Madrid
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
3
|
0
|
3
|
Juventus
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
1
|
1
|
3
|
Malmö
FF
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
2
|
0
|
3
|
Olympiacos
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
4
|
-1
|
3
|
KUNDI
B
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Real
Madrid CF
|
2
|
2
|
0
|
0
|
7
|
2
|
5
|
6
|
FC
Basel 1893
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
5
|
-3
|
3
|
Liverpool
FC
|
2
|
1
|
0
|
1
|
2
|
2
|
0
|
3
|
PFC
Ludogorets
|
2
|
0
|
0
|
2
|
2
|
4
|
-2
|
0
|
KUNDI
C
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
AS
Monaco FC
|
2
|
1
|
1
|
0
|
1
|
0
|
1
|
4
|
FC
Zenit
|
2
|
1
|
1
|
0
|
2
|
0
|
2
|
4
|
Bayer
04 Leverkusen
|
2
|
1
|
0
|
1
|
3
|
2
|
1
|
3
|
SL
Benfica
|
2
|
0
|
0
|
2
|
1
|
5
|
-4
|
0
|
KUNDI
D
|
||||||||
KLABU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
+/-
|
Pts
|
Borussia
Dortmund
|
2
|
2
|
0
|
0
|
5
|
0
|
5
|
6
|
Arsenal
FC
|
2
|
1
|
0
|
1
|
4
|
3
|
1
|
3
|
Galatasaray
AŞ
|
2
|
0
|
1
|
1
|
2
|
5
|
-3
|
1
|
RSC
Anderlecht
|
2
|
0
|
1
|
1
|
1
|
4
|
-3
|
1
|
No comments:
Post a Comment