Ligi Kuu Tanzania Bara inachukua tena nafasi Viwanjani mwisho wa Juma hili ambapo Mabingwa watetezi na Vinara wa Ligi Kuu Vodacom,
Azam FC, Jumamosi wako kwao Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kuivaa
JKT Ruvu ambayo ipo Nafasi ya 11,Mpaka sas Azam fc haijapoteza mchezo wowote katika michezo 38 la ligi kuu Tanzania Bara na mchezo wa Kesho ni mchezo wao wa 39.
Baada ya Mechi 4, Azam FC wako kileleni wakiwa
Pointi sawa na Mtibwa Sugar lakini wao wako juu kwa ubora wa Magoli.
Baada ya kutoka 0-0 katika Dabi yao, Yanga na
Simba Wikiendi hii zote iko ugenini kwa Yanga kucheza huko Kambarage, Shinyanga
na Timu iliyopanda Daraja Msimu huu Stand United wakati Simba wako huko
Sokoine, Mbeya kuivaa Prisons.
Mechi nyingine za Jumamosi zitachezwa huko
Nangwanda, Mtwara kati ya Wenyeji Ndanda FC dhidi ya Mgambo JKT na kule
Kaitaba, Bukoba kati ya Kagera Sugar na Coastal Union wakati huko Mabatini,
Mlandizi Ruvu Shooting itakipiga na Polisi Moro.
Jumapili itakuwepo Mechi moja tu na kali sana huko
Sokoine, Mbeya wakati Mbeya City itakapoumana na Mtibwa Sugar.
LIGI KUU VODACOM
RATIBA:
Jumamosi Oktoba 25
Stand United v Yanga [Kambarage, Shinyanga]
Ndanda FC v Mgambo JKT [Nangwanda, Mtwara]
Kagera Sugar v Coastal Union [Kaitaba, Bukoba]
Azam FC v JKT Ruvu [Azam Complex, Dar es Salaam]
Prisons v Simba [Sokoine, Mbeya]
Ruvu Shooting v Polisi Moro [Mabatini, Mlandizi]
Jumapili Oktoba 26
Mbeya City v Mtibwa Sugar [Sokoine, Mbeya]
MSIMAMO:
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
1
|
Azam FC
|
4
|
3
|
1
|
0
|
6
|
1
|
4
|
10
|
2
|
Mtibwa Sugar
|
4
|
3
|
1
|
0
|
6
|
1
|
5
|
10
|
3
|
Coastal Union
|
4
|
2
|
1
|
1
|
6
|
4
|
0
|
7
|
4
|
Yanga
|
4
|
2
|
1
|
1
|
4
|
4
|
0
|
7
|
5
|
Kagera Sugar
|
4
|
1
|
2
|
1
|
3
|
2
|
1
|
5
|
6
|
Mbeya City
|
4
|
1
|
2
|
1
|
1
|
0
|
1
|
5
|
7
|
Stand United
|
4
|
1
|
2
|
1
|
3
|
5
|
-2
|
5
|
8
|
Tanzania Prisons
|
4
|
1
|
1
|
2
|
4
|
4
|
0
|
4
|
9
|
Simba
|
4
|
0
|
4
|
0
|
4
|
4
|
0
|
4
|
10
|
Ruvu Shooting
|
4
|
1
|
1
|
2
|
3
|
5
|
-2
|
4
|
11
|
JKT Ruvu
|
4
|
1
|
1
|
2
|
3
|
5
|
-2
|
4
|
12
|
Ndanda FC
|
4
|
1
|
0
|
3
|
7
|
9
|
-2
|
3
|
13
|
Polisi Moro
|
4
|
1
|
2
|
1
|
3
|
5
|
-2
|
3
|
14
|
Mgambo JKT
|
4
|
1
|
0
|
3
|
1
|
4
|
-3
|
3
|
MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumapili Oktoba 19
Prisons 1 JKT Ruvu 2
Jumamosi Oktoba 18
Polisi Moro 0 Mtibwa Sugar 0
Ndanda FC 1 Ruvu Shooting 3
Kagera Sugar 0 Stand United 0
Coastal Union 2 Mgambo JKT 0
Mbeya City 0 Azam FC 1
Yanga 0 Simba 0
Jumapili Oktoba 5
Yanga 2 JKT Ruvu 1
Mtibwa Sugar 1 Mgambo JKT 0
Jumamosi Oktoba 4
Polisi Moro 1 Kagera Sugar 1
Coastal Union 2 Ndanda FC 1
Simba 1 Stand United 1
Prisons 0 Azam FC 0
Ruvu Shootings 0 Mbeya City 0
Septemba 28
JKT Ruvu 0 Kagera Sugar 2
No comments:
Post a Comment