Na Rebeka Duwe
Jumla ya watoto wapatao 24 wamezaliwa ndani ya
masaa 24 yaliyopita kumkia asubuhi ya sikuu ya idd el fitry katika
hospiatali ya mkoa wa Bombo mkoani hapa.
Akizungumza na Mtandao huu ofisini kwake hapo jana
muuguzi wa zamu katika hospitali hiyo Dkt Joycy Nkya amesma watoto hao 24
waliozaliwa kuamkia sikukuu kati yao wakiume ni 9 na wakike wakiwa ni 14.
Nkya amesema kuwa kati ya watoto hao 24 waliozaliwa
kwa operesheni(upasuaji) na wengine wamezaliwa kwa njia ya kawaida jambo la
kumshukuru mwenyenzi mungu hakuna kifo kilichotokea kwa wamama waliojifungua na
wala kwa watoto wenyewe.
No comments:
Post a Comment