| KIEMBA AKIWA DIMBANI |
Kiungo mkongwe wa
Simba, Amri Kiemba, yupo katika wakati
mgumu kutokana na kumpoteza baba yake mzazi mzee Athuman Kiemba, jana Ijumaa.
Kiemba amesema kuwa
baba yake ambaye alikuwa Sumbawanga, Rukwa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kiemba aambaye alikuwa
akizungumza huku akionyesha kuwa na majonzi mwakubwa, alisema kuwa marehemu baba yake mbali ya kuwa ni mzazi wake lakini
alikuwa ni rafiki yake mkubwa na alikuwa akimtegemea katika masuala mbalimbali
binafsi na ya kikazi yaliyomhusu.
| KIUNGO WA SIMBA AMRI KIEMBA AKIWA NA MWANAHABARI GODWIN HENRY |
MWENYEZI MUNGU
AMPUNGUZIE MAHALA PEMA MAREHEMU MZEE ATHUMAN
KIEMBA..! AMINA.
No comments:
Post a Comment