HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Sunday, 16 February 2014

VPL: COASTAL YAPIGWA,,.MBEYA CITY, SIMBA DROO, AZAM, YANGA WABAKI JUU!!


COASTAL UNION "WAGOSI WA KAYA"


RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Februari 15
Rhino Rangers 1 Mgambo JKT 1
Ashanti United 0 Kagera Sugar 0
Mtibwa Sugar 0 Tanzania Prisons 1
JKT Oljoro 0 JKT Ruvu 0
Mbeya City 1 Simba 1
Ruvu Shooting 1 Coastal Union 0
+++++++++++++++++++++++
MBEYA CITY

UWANJA wa Sokoine huko Jijini Mbeya, Jana ulikuwa patashika wakati Mbeya City na Simba zilipokutana nakutoka Sare ya Bao 1-1 ambayo imeibakisha kila Timu nafasi yake ile ile kwenye Msimamo wa VPL, Ligi Kuu Vodacom.
Mbeya City walitangulia kupata Bao katika Dakika ya 14 kwa Penati ya Deogratius Julius na Amisi Tambwe kuisawazishia Simba katika Dakika ya 50.
Simba na Mbeya City sasa zimecheza Mechi mbili zaidi ya Vinara Azam FC, wenye Pointi 36, na Timu ya Pili Yanga, wenye Pointi 35, lakini wamebaki nyuma yao kwa Mbeya City kubaki Nafasi ya Tatu wakiwa Pointi sawa na Yanga lakini wana ubora wa Magoli hafifu huku Simba ikishika Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Mbeya City.
­­MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
Azam FC
16
10
6
0
19
36
2
Yanga SC
16
10
5
1
22
35
3
Mbeya City
18
9
8
1
10
35
4
Simba SC
18
8
8
2
17
32
5
Ruvu Shooting
17
6
7
4
3
25
6
Kagera Sugar
18
5
8
5
0
23
7
Coastal Union
18
4
10
4
3
22
8
Mtibwa Sugar
18
5
7
6
-1
22
9
JKT Ruvu
17
6
1
10
-8
19
10
Ashanti United
17
3
5
9
-14
14
11
JKT Oljoro
18
2
8
8
-14
14
11
Mgambo
18
3
5
10
-18
14
14
Prisons FC
15
2
7
6
-9
13
12
Rhino Rangers
18
3
6
9
-10
13

RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumatano Februari 19
Tanzania Prisons v JKT Ruvu
Jumamosi Februari 22
Ruvu Shooting v Yanga
Kagera Sugar v Rhino Rangers
Mtibwa Sugar v Ashanti United
Coastal Union v Mbeya City
JKT Oljoro v Mgambo JKT
Azam FC v Tanzania Prisons
Jumapili Februari 23
Simba v JKT Ruvu

No comments:

Post a Comment