![]() |
|
Wajumbe wa Mkutano
wa Bunge Maalum la Katiba ambao pia ni wapenzi na wananchama wa Timu ya Simba
wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao
jana mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni
na Michezo Juma Mkamia, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta (katikati)
na Mwenyekiti wa Simba Ismail Aden Rage. Wajumbe wa
Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge
mara baada ya kuharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma.
|
HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.
KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA
....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....
Pages
Monday, 24 February 2014
PICHA YA SIKU "WADAU WA SIMBA WAKITETA JAMBO DODMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment