UCL:
DROO YAFANYIKA, ARSENAL v MABINGWA BAYERN!!
>> OLYMPIAKOS v MAN UNITED,
GALATASARAY v CHELSEA!
DROO ya Mechi za Raundi ya Mtoano ya
Timu 16 ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI, imefanyika leohuko Nyon, Uswisi na Mabingwa
Watetezi, Bayern Munich wamepangiwa kucheza na Arsenal.
Mabingwa wa England, Manchester United,
wao watacheza na Olympiakos ya Ugiriki na Chelsea itakutana na Galatasaray ya
Uturuki.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
DROO KAMILI:
Manchester City v Barcelona
Olympiakos v Manchester United
Arsenal v Bayern Munich
Zenit v Borussia Dortmund
Schalke v Real Madrid
Galatasaray v Chelsea
Bayer Leverkusen v PSG
Milan v Atlético Madrid
**FAHAMU: Timu inayotajwa kwanza itakuwa Nyumabi kwa Mechi
ya kwanza.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Mechi za kwanza za Raundi ya Mtoano ya
Timu 16 zitachezwa hapo Tarehe 18 na 19 Februari na Marudiano ni Februari 25 na
26.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
TAREHE MUHIMU:
RAUNDI ya MTOANO ya TIMU 16
-MECHI ZA KWANZA: 18–19 & 25–26
Februari 2014
-MARUDIANO: 11–12 & 18–19 Machi
2014
ROBO FAINALI
-DROO: 21 Machi 2014
-MECHI ZA KWANZA: 1–2 Aprili
2014 \
-MARUDIANO: 8–9 Aprili 2014
NUSU FAINALI
-DROO: 11 Aprili 2014
-MECHI ZA KWANZA: 22–23 Aprili 2014
-MARUDIANO: 29–30 Aprili 2014
FAINALI
4 Mei 2014 Estádio da Luz, Lisbon,
Portugal
No comments:
Post a Comment