MABONDIA Floyd Mayweather Jnr na
Manny Pacquiao hatimaye wanaweza kuzipiga mwakani katika pambano kubwa zaidi la
ndondi kuwahi kutokea.
Mkuu wa Top Rank, Bob Arum, ambaye
anampromoti nyota wa Ufilipino, amesema atahakikisha pambano hilo
linalosubiriwa kwa muda mrefu linafanyika na ataanza mchakato huo baada ya
pambano dhidi ya Brandon Rios huko Macau mwishoni mwa wiki hii.
![]() |
| Manny Pacquiao na Brandon Rios |
Gharama za pambano hilo zinatarajiwa
kuwa dola za KImarekani Milioni 300.
![]() |
| Manny Pacquiao na Floyd Mayweather Jnr |


No comments:
Post a Comment