Madaktari nchini Kenya
wameelezea wasiwasi kuhusu matumizi mabaya na ya kiholea ya dawa za dharura
ambazo zinanuiwa kuwakinga waathiriwa wa ubakaji kutokana na maambukizi ya
virusi vya HIV.
Lakini mwandishi wa BBC aligundua kuwa wanawake makahaba wamegundua njia za kupata dawa hizo.

No comments:
Post a Comment