| Mgeni Rasmi Mstahiki Meya wa Jiji La Tanga Mh Omar Guledi |
| Mgeni Rasmi akishudia ubunifu wa namna chombo cha kunawia mikono baada ya mtumiaji kutoka chooni |
| Mwanafunzi akionesha namna ya kunawa mikono baada ya kutoka chooni huku akishuhudiwa na mgeni Rasmi Mh Meya wa Jiji la Tanga |
| Wanafunzi wakiburudisha wageni waalikwa kwa nyimbo zenye mbalimbali zenye Ujumbe kuhusu siku hii |
| Baadhi ya Wadau wa Usafi wa Mazingira walio hudhuria Maadhimisho hayo |
| Ndg Marlaw Msuya Msatibu wa Usafi na Maji akiongea na Waandishi wa Habari |
No comments:
Post a Comment