HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Thursday, 7 November 2013

KASEJA AMFUATA BARTHEZ 'AJIUNGA" NA YANGA

Aliyekuwa Mlinda mlango wa Wekundu wa Msimbazi Simba sport club "The Tanzania One" Juma Kaseja amehusishwa na Mpango wa kutua Jangwani  Kuiwatumikia Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Soka Tanzania
"Yang African Sport Club" pale dirisha dogo la Usajili litakapo funguliwa mnamo mwezi Januari Mwakani.

Licha ya Mlinda Mlango huyo nguli nchini kushindwa kulizungumzia suala hilo kwa karibu lakini baadhi ya ndugu na rafiki zake wa karibu wamekuwa wakivujisha Taarifa za mpango huo.

KASEJA WAKATI AKIITUMUKIA SIMBA
 'Ikumbukwe kuwa Mlinda mlango nambari 1 wa Yanga hivi sasa ambaye amekuwa akisugua benchi kufuatia uongozi wa klabu hiyo kutoridhishwa na Kiwango chake katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani wao wa Jadi Simba aliporuhusu mabao 3 kuingia wavuni na kufanya mchezo uishishe wa sare ya 3-3"Ali Mustapha Barthez" aliwahi kuitumikia klabu ya Simba ambapo alikuwa akipigwa benchi na Juma Kaseja.



    
ALI MUSTAFA BARTHEZ




"BAADHI YA WADAU WA SOKA NCHINI WAMEELEZA KUWA MAMBO YANAWEZA KUJIRUDIA KWA BARTHEZI KUSUGUA BENCHI KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WAWILI HAO WAKIWA SIMBA"

No comments:

Post a Comment