Kutoka Hospitali ya Milpark jijini Johannesburg Afrika Kusini; Mhadhiri wa Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mjumbe wa Kamati ya Katiba na Mwanasiasa Dr. Sengondo Mvungi amefariki dunia hospitalini hapo leo majira ya saa tisa alasiri.
![]() |
| R.I.P Dk Mvungi |
![]() |
| Wakati akipatiwa Matibabu Muhimbili |




No comments:
Post a Comment