Juma Nyosso, beki mashuhuri wa MBEYA City
Council FC ataingia uwanjani kesho ,08/04 kujiunga na wenzake dhidi ya Azam FC baada ya adhabu
kabambe toka TFF, ikiwa ni katika mwendelezo wa michezo ya ligi kuu ya Soka Tanzania Bara.
![]() |
| "Beki Juma Nyosso" |
“Kumbuka Nyosso alifungiwa mechi nane na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya Nidhamu baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mshambuliaji wa Simba Elias Maguri”

No comments:
Post a Comment