HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 6 October 2014

LIGI KUU VODACOM: YANGA IPO NAFASI YA 3, MTIBWA YAPAA KILELENI!


Kocha wa Mtibwa Sugar Mecky Mexime

RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Oktoba 5
Yanga 2-1 JKT Ruvu
Mtibwa Sugar 1-0 Mgambo JKT
++++++++++++++++++++++++
Hapo jana katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, Yanga wameichapa JKT Ruvu Bao 2-1 na kukwea hadi Nafasi ya 3 ya Ligi Kuu Vodacom
Yanga walifunga Bao lao la kwanza Dakika ya 32 kupitia Kelvin Yondani na Bao hilo kudumu hadi Haftaimu.
Dakika ya 73, Haruna Niyonzima aliipatia Yanga Bao la Pili lakini JKT Ruvu walipata Bao lao moja katika Dakika za mwishoni Mfungaji akiwa Jabir Aziz.
Hadi mwisho, Yanga 2 JKT Ruvu 1.

RATIBA/MATOKEO:
Jumamosi Oktoba 18
Polisi Moro v Mtibwa Sugar
Ndanda FC v Ruvu Shooting
Kagera Sugar v Stand United
Coastal Union v Mgambo JKT
Mbeya City v Azam FC
Yanga v Simba

Jumapili Oktoba 19
Prisons v JKT Ruvu
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mtibwa Sugar
3
3
0
0
6
1
5
9
2
Azam FC
3
2
1
0
6
1
4
7
3
Yanga
3
2
0
1
4
4
0
6
4
Mbeya City
3
1
2
0
1
0
1
5
5
Tanzania Prisons
3
1
1
1
3
2
1
4
6
Kagera Sugar
3
1
1
1
3
2
1
4
7
Coastal Union
3
1
1
1
4
4
0
4
8
Stand United
3
1
1
1
3
5
-2
4
9
Ndanda FC
3
1
0
2
6
6
0
3
10
Simba
3
0
3
0
4
4
0
3
11
Mgambo JKT
2
1
0
1
1
1
0
3
12
Polisi Moro
3
1
1
1
3
5
-2
2
13
JKT Ruvu
3
0
1
2
1
4
-3
1
14
Ruvu Shooting
3
0
1
2
0
4
-4
1

No comments:

Post a Comment