![]() |
|
Kikosi
cha Serengeti Boys
|
Timu ya
taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imefungwa mabao 4-0
na wenyeji Afrika Kusini, Amajimbos jioni ya jana Uwanja wa Dobsonville mjini
Soweto, hivyo kutolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya fainali za
vijana baada ya awali kulazimishwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Azam
Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment