Friday, 14 February 2014
RATIBA:
Jumamosi Februari 15
Rhino Rangers v Mgambo JKT
Ashanti United v Kagera Sugar
Mtibwa Sugar v Tanzania Prisons
JKT Oljoro v JKT Ruvu
Mbeya City v Simba
Ruvu Shooting v Coastal Union
+++++++++++++++++++++++
![]() |
| KIKOSI CHA MBEYA CITY |
UWANJA
wa Sokoine huko Jijini Mbeya, Jumamosi unatarajiwa kuwaka moto kwa pambano kali
la VPL, Ligi Kuu Vodacom, ambapo Wenyeji Mbeya City wanawania ushindi dhidi ya
Simba ili kutwaa uongozi wa Ligi hiyo.
![]() |
| KOCHA WA SIMBA ZDRACO LOGARUSIC |
Mbeya
City, ambao wako Nafasi ya Tatu, wakiifunga Simba watazipiku Yanga na Azam FC
na kutwaa nafasi ya kwanza na Simba nao wakishinda watafikia Pointi 34 sawa na
Mbeya City lakini wataipiku na wao kushika Nafasi ya Tatu kwa ubora wa Magoli.
Wikiendi
hii, Azam FC, ambao ndio wanaongoza Ligi wakiwa na Pointi 36, na Timu ya Pili,
Yanga, wenye Pointi 35, hawachezi kwa vile wako nje ya Nchi kucheza Mechi zao
za Marudiano za Michuano ya Klabu Barani Afrika.
Azam
FC wako huko Beira, Nchini Msumbiji kurudiana na Ferroviario da Beira huku wao
wakiwa wameshinda Bao 1-0 walipocheza Dar es Salaam wakati Yanga wako Visiwa
vya Comoro kurudiana na Komorozine de Domoni ambayo waliipiga 7-0 Jijini Dar es
Salaam.
Mechi
zinazofuata kwa Azam FC na Yanga ni hapo Februari 22 wakati Yanga watakapocheza
na Ruvu Shooting na Azam FC kukutana na Tanzania Prisons.
Mbali
ya Mechi ya Mbeya City na Simba, hiyo kesho zipo Mechi nyingine 5 za Ligi.
MSIMAMO:
|
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GD
|
PTS
|
|
1
|
Azam
FC
|
16
|
10
|
6
|
0
|
19
|
36
|
|
2
|
Yanga
SC
|
16
|
10
|
5
|
1
|
22
|
35
|
|
3
|
Mbeya
City
|
17
|
9
|
7
|
1
|
10
|
34
|
|
4
|
Simba
SC
|
17
|
8
|
7
|
2
|
17
|
31
|
|
5
|
Coastal
Union
|
17
|
4
|
10
|
3
|
4
|
22
|
|
6
|
Ruvu
Shooting
|
16
|
5
|
7
|
4
|
2
|
22
|
|
7
|
Mtibwa
Sugar
|
17
|
5
|
7
|
5
|
0
|
22
|
|
8
|
Kagera
Sugar
|
17
|
5
|
7
|
5
|
0
|
22
|
|
9
|
JKT
Ruvu
|
16
|
6
|
0
|
10
|
-8
|
18
|
|
10
|
Ashanti
UTD
|
16
|
3
|
4
|
9
|
-14
|
13
|
|
11
|
JKT
Oljoro
|
17
|
2
|
7
|
8
|
-14
|
13
|
|
12
|
Mgambo
|
17
|
3
|
4
|
10
|
-18
|
13
|
|
13
|
Rhino
Rangers
|
17
|
2
|
6
|
9
|
-10
|
12
|
|
14
|
Prisons
FC
|
14
|
1
|
7
|
6
|
-10
|
10
|
RATIBA MECHI ZIJAZO:
Jumatano Februari 19
Tanzania Prisons v JKT Ruvu
Jumamosi Februari 22
Ruvu Shooting v Yanga
Kagera Sugar v Rhino Rangers
Mtibwa Sugar v Ashanti United
Coastal Union v Mbeya City
JKT Oljoro v Mgambo JKT
Azam FC v Tanzania Prisons
Jumapili Februari 23
Simba v JKT Ruvu


No comments:
Post a Comment