Yapigwa bao 1-0.
Foul ilipigwa na Malimi Bushungu ikamshinda Ivor Mapunda na kumkuta Fully Maganga akaukwamisha nyavuni mnamo dk ya 30 kipindi cha kwanza.
| "Hatuamini" Wachezaji wa benchi wa Simba Sc Yaw Berco,Ibrahin Humud,Uhuru Selemen na Henry Joseph |
| Kocha wa Simba Zdraco Logarisic akishuhudia Simba ikibanwa mbavu na Mgambo |
| Mgambo Shootinga wakisangilia Bao |
| Fully Maganga akizungumza na Wanahabari (Wahapo Pichani) |
| "Aliyeiua Simba" Striker wa Mgambo Shooting Fully Maganga |
| Mgambo wakipongezana baada ya Mchezo |
| Kocha Loga akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya Mchezo |
| Mashabiki wa Mgambo wakiondoka ndani ya jiji la Tanga kwa Shangwe |
No comments:
Post a Comment