![]() |
| Watu waliofurika nje ya Hospitali kuwatambua ndugu zao |
![]() |
| Baadhi ya Majeruhi wakipatiwa Matibabu |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Korogwe (Kushoto)Mh Mrisho Gambo alifika kuwajulia hali majeruhi wa ajali hiyo |



![]() |
| Basi Burudan likiwa limeharibika Vibaya baada ya kapata ajali |
Akizungumza na Mtandao huu Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mh Mrisho Gambo amesema chanzo cha ajali hiyo ni basi hilo kugongwa na Lori ubavuni na kuacha njia na kisha kupinduka.
Watu 12 wamepoteza maisha akiwemo dereva wa basi hilo na zaidi ya 90 ni majeruhi ambapo 15 kati yao halizao ni mbaya na wamepelekwa KCMC kwa matibabu zaidi.




No comments:
Post a Comment