HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.
KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA
....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....
Pages
Wednesday, 6 November 2013
SIMBA YAUA 4-2 DHIDI YA ASHANTI
Mechi ya Simba na Ashanti ligi kuu ya Soka Tanzania bara imemalizika kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sport Club kuibuka na Ushindi wa 4-2.Mabao ya Simba yakiwekwa wavuni na Ramadha Singano "Mesii" kipindi cha kwanza na Betram Mombeki aliepiga mbili dk ya 49 na 60 na Khamis Tambwe aliyepiga bao 1 dk ya 46
Mabao ya Ashanti yamefungwa na Hussein Sued Saud dk ya 44 na mkongwe Said Maulid dk ya 53.
Kwa Matokeo hayo Simba wamesali katika nafasi ya 4 kwenye Msimamo wa ligi hiyo wakiwa na point 24 chini ya Yanga wenye point 25.Mbeya City yenye point 26 na Azam yenye point 26.
KESHO
Yanga Vs JKT Oljoro (Uwanja wa Taifa Jijini Dsm)
Azam Vs Mbeya City (Chamazi)
Mechi zote zinaanza saa kumi kamili jioni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment