HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Tuesday, 12 January 2016

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ASIKILIZA KERO ZA WASAFIRI KITUO BUBU CHA MWEMBE MAWZO


Mbunge wa jimbo la Tanga mjini  Mussa Mbarouk (CUF) amefika na kuzungumza na wasafiri na madereva wa mabasi yaendayo Wilayani kituo cha mabasi cha muda   Mwembe Mawazo ili kutafuta njia za kutatua  kero zinazo wakabili baada ya kuhamishwa kituo cha Ngamiani, kituo hicho kimekuwa kero baada ya kutokuwa na huduma muhimu ya choo na banda la  wasafiri kujinga na mvua na jua.

Mbunge wa jimbo la Tanga mjini  Mussa Mbarouk (CUF) amefika na kuzungumza na wasafiri na madereva wa mabasi yaendayo Wilayani kituo cha mabasi cha muda   Mwembe Mawazo ili kutafuta njia za kutatua  kero zinazoowakabili baada ya kuhamishwa kituo cha Ngamiani, kituo hicho kimekuwa kero baada ya kutokuwa na huduma muhimu ya choo na banda la  wasafiri kujinga na mvua na jua .

Wasafiri kutoka Maramba, Daluni, Kasera na Horohoro Wilayani Mkinga wakichukua mizigo yao kituo cha muda cha  mabasi  Mwembe Mawazo baada ya kituo cha Ngamiani kutotakiwa kushusha abiria na  kuwa kero baada ya kituo hicho kutokuwa na huduma ya choo na banda la kujinga na mvua na jua.

No comments:

Post a Comment