HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Tuesday, 5 January 2016

MAKALA YA AFYA KUHUSU "AFYA NA MTOTO" KUTOKA KWA MSHAURI MICHAEL CHIKOMA.



DISPOSABLE BABY DIAPERS 
Ni aina ya DIAPERS za watoto zenye ubora wa hali ya juu sana.Kwa ujumla,matumizi Ya Diapers yamewarahisishia wamama Wengi Hasa Walioajiriwa Kutokana Na Ufinyu Wa Muda wa kufua .Lakini Wakati mwingine baadhi hizi Diapers zimekuwa zikisababisha matatizo mengi Kwa Watoto Hasa Kutokana Na Aina ya Malighafi Iliyotumika Kutengenezea.

Aina nyingi ya Diapers hazipitishi hewa hivyo husababisha Bacteria aina Anaerobic Bacteria kuzaliwa kwa wingi.Hawa ni Bacteria ambao wanazalishwa katika mazingira ambayo hewa ya Oxygen haipiti matokea yake watoto wanapata Ugonjwa Kwenye Njia Ya Mkojo Maarufu Kama U.T.I,Kuwashwa,michubuko pamoja na Fungus.
UBORA WA NEPBABY DIAPERS:
Nepbaby disposable diapers zimetengenezwa kwa malighafi ya pamba laini ambayo huruhusu hewa kupita vizuri lakini pia kufanya mtoto kuwa na furaha wakati wote kwasababu haimchubui,wala kusababisha muwasho wa aina yoyote.zifuatazo ni faida zake:
1.ALOE: Nepbaby diapers zimewekwa aloe vera ambayo humlinda mtoto na maradhi ya aina mbalimbali ikiwemo muwasho,fungus,u.t.i na kuzuia bacteria wanaozaliwa kwenye unyevu nyevu na hasa mazingira ambayo hewa ya oxygen inakosekana.
2.INDICATOR(KIASHIRIA): Nepbaby diapers zina indicator(kiashiria) ambayo hubadilika rangi hivyo kuonyesha kama mkojo umejaa na inatakiwa kubadilishwa,hivyo kumfanya mwangalizi wa mtoto kutambua haraka kuwa anatakiwa kumbadilisha.
3.POLYMERS NA PAMBA LAINI: Zimetengenezwa kwa pamba laini (100%) na kuwekewa malighafi (polymers) zenye uwezo wa kufyonza mkojo au maji maji kwa wingi hivyo kumwacha mtoto kuwa mkavu na kumuepusha na michubuko au miwasho ya aina yoyote na kuwa huru.
4.ZINAONDOA HARUFU MBAYA:Zinamkaa mtoto vizuri na kwa pembeni zimewekewa malighafi inayozuia mkojo kuvuja na kuondoa harufu mbaya ( foul smell).
5. UTUNZAJI WA MUDA: Zinamsaidia mama kupata muda wa kufanya shughuli zingine za kiuchumi hasa katika suala la kubanwa na majukumu mengine.
Kwa ushauri na mahitaji ya diapers hizi wasiliana nami kwa namba 0713671316/0788671516-calls, sms & whatsap
Michael Lucas Chikoma
Mshauri wa afya

No comments:

Post a Comment