HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Sunday, 13 December 2015

YALIYOJIRI LIGI KUU YA SOKA TAZANIA BARA. YANGA, AZAM, SIMBA.. HOOOI...


Mchezo wa watani kutoka mkoani Tanga umemalizika kwa sare ya goli 1-1 katika muendelezo wa ligi kuu ya vodacom uliochezwa katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.

Katika mchezo huo ulioanza kwa kila upande kumuogopa mwenzake huku kukitawaliwa na mipira mirefu zaidi kwa takribani dakika zote 90.

Africana Sports ndio walikuwa wa mwanzo kupata goli katika dakika ya 15 kupitia kwa Muhammde Mtindi akimalizia mpira wa kona.

Kuingia kwa goli hilo kuliwatuliza Coastal union huku kukiwapa utulivu African sports na kuanza kucheza soka la uhakika.

Katika dakika ya 24 Juma Mahadhi alimalizia pasi murua ya Absalim Chidebile na kupelekea mchezo kwenda mapumziko wakiwa sare ya goli 1-1.

Katika kipindi cha pili Coastal union na African sports waliemndelea kucheza mchezo wao wa mipira mirefu ambapo katika dakika ya 88 African Sport walifunga goli lililo kataliwa na mwamuzi kwa madai mfungaji alikuwa ameotea na kupelekea mchezo kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
MATOKEO YA MICHEZO YA JUMAMOSI NA JUMAPILI
Jumamosi
Majimaji 1-5 Toto Africans
Stand United 0-2 Mwadui Fc
Simba Sc 2-2 Azam Fc
Mbeya City 2-2 Mtibwa Sugar
Kagera Sugar 1-1 Ndanda Fc
Mgambo Shooting 0-0 Yanga Sc

Jumapili
Jkt Ruvu 4-1 T.Prisons
African Sport 1-1 Coastal Union

MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM BAADA YA MICHEZO YA LEO

Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
Azam FC
10
8
2
0
22
7
15
26
2
YANGA
10
7
3
0
22
5
17
24
3
MTIBWA SUGAR
10
7
2
1
14
7
7
23
4
SIMBA SC
10
7
1
2
17
7
10
22
5
STAND UNITED
11
6
1
4
11
6
5
19
6
MWADUI FC
11
5
3
3
13
10
3
18
7
T. PRISONS
11
5
2
4
11
14
-3
17
8
TOTO AFRICANS
11
4
4
3
11
13
-2
16
9
MGAMBO SHOOTING
11
3
3
5
6
9
-3
12
10
MAJIMAJI FC
11
3
2
6
7
19
-12
11
11
MBEYA CITY
11
2
4
5
10
11
-1
10
12
NDANDA FC
10
1
6
3
7
9
-2
9
13
Coastal Union
11
1
5
5
3
9
-6
8
14
JKT RUVU
11
2
2
7
10
17
-7
8
15
KAGERA SUGAR
11
1
3
7
3
14
-11
6
16
AFRICAN SPORT
10
1
1
8
2
12
-10
4

Michezo Inayokuja
2015-12-16
16:00
African Sport
Vs    
Yanga

2015-12-19
16:00
Yanga
Vs    
Stand United
16:00
Mwadui Fc
Vs    
Ndanda Fc
16:00
Kagera Sugar
Vs    
African Sport
16:00
T.Prisons
Vs    
Mtibwa Sugar
16:00
Toto Africans
Vs    
Simba Sc
16:00
Majimaji
Vs    
Azam Fc

No comments:

Post a Comment