HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Tuesday, 22 December 2015

BREAKING NEWSS "MAGUFULI ATUMBUA JIPU JINGINE LEO"



Rais Dkt.John Pombe Magufuli leo  ametangaza kumsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya RAHCO Mhandisi Benhadad Tito na kuvunja Bodi hiyo.

Aidha, RAHCO ni Kampuni Miliki ya Rasilimali za Watu iliyo chini shirika la Reli Tanzania TRL.Katika hatua nyingine Bodi hiyo iliiyovunjwa leo ilizinduliwa  na aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta tarehe 29 Oktoba, 2015 chini ya Mwenyekiti Prof. Mwanuzi Fredrick.

No comments:

Post a Comment