HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 21 December 2015

BAADA YA MADRID KUPIGA MTU 10-2 JANA NIMEKUWEKA HAPA VINARA WA MABAO LA LIGA.


SANTIAGO BERNABEU huko Madrid Jana iligeuka chereko baada ya Wenyeji Real Madrid kuitwanga Rayo Vallecano Bao 10-2 katika Mechi ya La Liga ambayo Wageni hao, walioongoza 2-1, walicheza Mtu 10 na ndipo Mvua ya Magoli kuwashukia.

Real walitangulia kufunga Bao kupitia Danilo na Rayo Vallecano kujibu kwa Bao 2 na kuongoza 2-1 lakini waliathirika mno kwa Kadi Nyekundu kwa Wachezaji wao Roberto Roman Triguero, alietolewa Dakika ya 14 na kufuatia Jose Raul Baena, Dakika ya 28.
Hadi Mapumziko Real walikwenda mbele kwa Bao 4-2.
+++++++++++++++++++
MAGOLI:
REAL MADRID
-Danilo 3'
-G. Bale 25', 41', 61', 70'
-Cristiano Ronaldo 30', 53'
-K. Benzema 48', 79', 90’
RAYO VALLECANO
-Antonio Amaya 10'
-Jozabed 12’
+++++++++++++++++++
Kipindi cha Pili Real waliongeza Bao 6 na hatimae kushinda Bao 10-2.
Ushindi huu umewabakisha Real Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 2 nyuma ya Vinara Barcelon.

La Liga Scorers

Team

Goals
pen.
Home
Away
Last
1.    Neymar Junior

14
3
9
5
28 Nov
2.    L. Suárez

13
1
8
5
5 Dec
3.    I. Agirretxe

12
0
6
6
11 Dec
4.    C. Ronaldo

12
3
5
7
20 Dec
5.    L. Pérez

12
1
7
5
19 Dec
6.    K. Benzema

11
0
7
4
20 Dec
7.    A. Aduriz

10
1
5
5
29 Nov
8.    J. Guerra

9
0
6
3
13 Dec
9.    G. Bale

8
0
7
1
20 Dec
10.  Nolito

8
1
6
2
28 Nov
11.  R. Castro Martín

8
2
3
5
27 Nov
12.  I. Aspas Juncal

8
0
3
5
20 Dec
13.  A. Griezmann

8
0
6
2
13 Dec
14.  K. Gameiro

7
2
6
1
12 Dec

No comments:

Post a Comment