Coastal union katika
hali ya kuhakikisha kikosi chake kinakuwa imara wamemsajili beki wa Simba SC
Miraji Adam kwa mkopo wa miezi 6 baada ya kuitumikia Mtibwa sugar kwa Mkopo
mwanzoni mwa msimu huu.
Miraji Adam ni miongoni mwa wachezaji walio tamba na Simba B iliyokuwa chini ya kocha Suleiman Matola amesema kuwa amejiunga na Coastal union ili apate nafasi zaidi ya kucheza.
''Nimekaa nje muda mrefu baada ya Simba kushindwa kuvunja mkataba wangu na sasa wamenipeleka kwa mkopo Coastal Union jambo ambalo nisingeweza kukataa. Nataka kumalizia mkataba wangu ndipo nijue mengine.
''Mpira ndiyo ajira yangu hivyo ni lazima nijitume kuhakikisha narudi katika kiwango changu cha mwanzo, naweza kusema Coastal ni mahali pazuri kwangu,'' alisema Miraji.

No comments:
Post a Comment