Simba, Azam FC na Mtibwa Sugar zimeibuka washindi katika
Mechi za Ligi Kuu Vodacom zilizochezwa jana na hapa Mkwakwani Jijini Tanga
Coastal Union walitoka 0-0 na Toto Africans.
Jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja
wa Taifa, Hamisi Kiiza ndie alikuwa shujaa wa Simba baada kupiga Hetitriki
wakati Simba inaichapa Kagera Sugar 3-1 na huko Shinyanga John Bocco alipiga
Bao moja wakati Azam FC inaichapa Mwadui FC 1-0.
Huko Manungu, Morogoro, Mtibwa Sugar
iliichapa Ndanda FC kwa Bao za Salim Mbonde na Saidi Bahanuzi huku Ndanda FC
wakifunga kupitia Kigi Makassy.
MATOKEO:
LIGI KUU VODACOM
Matokeo:
Jumapili
Septemba 20
Mwadui
0 Azam FC 1
Mtibwa
Sugar 2 Ndanda FC 1
Simba
3 Kagera Sugar 1
Coastal
Union 0 Toto Africans 0
Jumamosi Septemba 19
Yanga
4 JKT Ruvu 1
Stand
United 2 African Sports 0
Mgambo
Shooting 1 Majimaji 0
Tanzania
Prisons 1 Mbeya City 0
RATIBA MECHI ZIJAZO
26.09.2015
|
Simba Sc
|
V
|
Young Africans
|
National Stadium
|
Dar
|
26.09.2015
|
Coastal Union
|
V
|
Mwadui Fc
|
Mkwakwani
|
Tanga
|
26.09.2015
|
Tanzania Prisons
|
V
|
Mgambo Shooting
|
Sokoine
|
Mbeya
|
26.09.2015
|
Jkt Ruvu
|
V
|
Stand United
|
Karume
|
Dar
|
26.09.2015
|
Mtibwa Sugar
|
V
|
Majimaji Fc
|
Manungu
|
Moro
|
26.09.2015
|
Kagera Sugar
|
V
|
Toto Africans
|
Kaitaba
|
Kagera
|
27.09.2015
|
African Sports
|
V
|
Ndanda Fc
|
Mkwakwani
|
Tanga
|
27.09.2015
|
Azam Fc
|
V
|
Mbeya City
|
Azam Complex
|
Dar
|
No comments:
Post a Comment