HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Monday, 21 September 2015

MBASHA HUYOO KITAANI. MAHAKAMA YAMWACHIA HURU KWA KUKOSA USHAHIDI.



Mahakama ya Ilala, Dar imemwachia huru Emmanuel Mbasha (picha kushoto akiwa na mkewe Flora Mbasha)leo Jumatatu Septemba 21, 2015 baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha kosa la ubakaji dhidi yake.

Itakumbukwa mwaka 2014 Emmanuel Mbasha ambae ni mwimbaji wa injili na mfanyabiashara alifunguliwa mashataka mawili mahakama ya Ilala kwa makosa mawili ikiwemo la ubakaji. Katika shitaka la kwanza Mei 23, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, ilidaiwa kinyume cha sheria alimuingilia kwa nguvu msichana anayedaiwa kuwa shemeji yake.

Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa Mei 25, mwaka 2014 eneo la Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam, kinyume cha sheria, mshtakiwa aliumuingilia kwa nguvu mfanyakazi wake.

No comments:

Post a Comment