HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Tuesday, 15 September 2015

LIGI KUU TANZANIA BARA KURINDIMA VIWANJANI SEP 16,17,19 na 20 TANGA KAMA KAWAIDA.



Michezo Inayokuja
2015-09-16

Simba Vs Mgambo
Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema kamwe hakutakuwa na dharau katika mechi dhidi ya Mgambo kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, kesho.

Kerr raia wa Uingereza amesema bado wanakiboresha kikosi chao lakini wangependa kushinda kila mechi mbele yao kwa ajili ya morali.Simba ilianza Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Sports hapo Mkwakwani. Lakini haikuonyesha kiwango kizuri cha kuvutia sana.Jana Simba iliendelea na mazoezi mjini hapa kuhakikisha inakuwa fiti kwa ajili ya mechi hiyo.

16 Sept
Yanga
V
Tanzania Prisons
Taifa
Dsm
16 Sept
Mgambo Shooting
V
Simba Sc
Mkwakwani
Tanga
16 Sept
Majimaji Fc
V
Kagera Sugar
Majimaji
Ruvuma
16 Sept
Mbeya City
V
Jkt Ruvu
Sokoine
Mbeya
16 Sept
Stand United
V
Azam Fc
Kambarage
Shinyanga
16 Sept
Toto Africans
V
Mtibwa Sugar
Ccm Kirumba
Mwanza
16 Sept
Ndanda Fc
V
Coastal Union
Nangwanda
Mtwara
17 Sept
Mwadui Fc
V
African Sports
Mwadui
Shinyanga






19 Sept
Stand United
V
African Sports
Kambarage
Shinyanga
19 Sept
Mgambo Shooting
V
Majimaji Fc
Mkwakwani
Tanga
19 Sept
Tanzania Prisons
V
Mbeya City
Sokoine
Mbeya
19 Sept
Yanga
V
Jkt Ruvu
Taifa
Dsm
20 Sept
Mwadui Fc
V
Azam Fc
Mwadui
Shinyanga
20 Sept
Mtibwa Sugar
V
Ndanda Fc
Manungu
Morogoro
20 Sept
Simba Sc
V
Kagera Sugar
Taifa
Dsm
20 Sept
Coastal Union
V
Toto Africans
Mkwakwani
Tanga
MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA MICHEZO YA KWANZA.
Rn
Timu
P
W
D
L
F
A
Gd
Pts
1
Yanga
1
1
0
0
2
0
2
3
2
Azam FC
1
1
0
0
2
1
1
3
3
Kagera Sugar
1
1
0
0
1
0
1
3
4
Majimaji Fc
1
1
0
0
1
0
1
3
5
Mtibwa Sugar
1
1
0
0
1
0
1
3
6
Simba Sc
1
1
0
0
1
0
1
3
7
Toto Africans
1
1
0
0
1
0
1
3
8
Mgambo Shooting
1
0
1
0
1
1
0
1
9
Ndanda Fc
1
0
1
0
1
1
0
1
10
T. Prisons
1
0
0
1
1
2
-1
0
11
African Sport
1
0
0
1
0
1
-1
0
12
Jkt Ruvu
1
0
0
1
0
1
-1
0
13
Mbeya City
1
0
0
1
0
1
-1
0
14
Mwadui Fc
1
0
0
1
0
1
-1
0
15
Stand United
1
0
0
1
0
1
-1
0
16
Coastal Union
1
0
0
1
0
2
-2
0

No comments:

Post a Comment