VIPAUMBELE
VYA MGOMBEA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA TANGA KWA TIKETI YA CCM JIMBO LA TANGA
.MH. OMAR NUNDU.
·
Kutokomeza Umasikini.
·
Kuongeza Ajira.
·
Kutokomeza Rushwa.
·
Kulionda Amani kwa Nguvu zote.
·
Kufufua Viwanda na kuanzisha
miradi ya ufugaji wa Samaki.
·
Kutwaa mashamba yaliyotelekezwa
na wawekezaji na kuyatumia kwa shughuli za kimaendeleo.
No comments:
Post a Comment