BAADHI YA VIPAUMBELE VYA MGOMBEA WA KITI
CHA UDIWANI KATA YA PONGWE KWA TIKETI YA CHADEMA NA UKAWA, MH. IGNATUS MPONJI.
·
Kurejesha
Mipaka ya Pongwe.
·
Kuanzisha
Miradi ya Vikundi vya kina Mama.
·
Kurejesha
Maeneo ya viwanja vya Pongwe.
·
Kusimamia
Ajira za Vijana wa Pongwe alio ajiriwa kwenye Viwanda.
·
Kujenga Shule
ya Msingi Pongwe Kaskazini.
·
Kuisimamia
Halmashauri ili itoe maamuzi sahihi kwa maslahi ya wana Tanga.
No comments:
Post a Comment