Wasanii
hawa wiwili wamekutana katika vipengele viwili katika tuzo za Afrimma ambazo
zimeshatangazwa! Wawili hawa wamekutana katika kipengele cha” Msanii bora” na
“wimbo bora wa mwaka”.Tanzania tunawakilishwa na Diamond Platnumz, Ally Kiba na Lina.
Katika
kipengele cha Msanii bora wa mwaka Ally Kiba na Diamond Platnumz wamkutana pamoja,
huku kukiwa na mpambano mwingine kati ya Davido na Wizkid ambao wote ni
Wanigeria.
Katika kipengele cha wimbo bora wa
mwaka Ally Kiba na Diamond Platnumz wamekutana katika kipengele hichi ambapo
Kuna nyimbo ya Nasema Nawe ya Diamond Platnumz na Mwana ya Ally Kiba….Pia
katika kipengele hiki kimewakutanisha wakali wa Nigeria Davido na Wizkid.
No comments:
Post a Comment