Mwaka huu umeanza kwa aina yake kwa serikali ya Tanzania, vyombo vya habari wa mataifa ya nje ambavyo ndio hasa vimekuwa vikiaminiwa na viongozi wetu wengi kwa kuvipa ushirikiano mkubwa vinapohitaji ufafanuzi wa mambo fulani na kuvipuuza vyombo vya nyumbani na waandishi wake.
Sasa vimeamua kufichua maovu yanayoendelea kuhusiana na ujangili nchini, Televisheni ya ITV (ya ulaya sio ya hapa kwetu jamani) imeingia chimbo na kuibuka na ripoti ya namna biashara ya meno ya tembo inavyofanyika nchini hasa hapa DSM. tazama hapo kwenye hiyo link
No comments:
Post a Comment