JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Simu: 255 22
2460735/2460706
FAKSI: 255 22 2460735/2460700
Barua pepe: met@meteo.go.tz
Tovuti: Tanzania Meteorological Agency - Admin -
S.L.P. 3056
DAR ES SALAAM
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622
10 Februari, 2014
FAKSI: 255 22 2460735/2460700
Barua pepe: met@meteo.go.tz
Tovuti: Tanzania Meteorological Agency - Admin -
S.L.P. 3056
DAR ES SALAAM
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622
10 Februari, 2014
Taarifa kwa Umma: Matarajio ya kuwa naVipindi vya Mvua kubwa, Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa.
Taarifa Na.
|
201402-01
|
Muda wa Kutolewa: Saa za Afrika
Mashariki
|
Saa 11 Jioni
|
Daraja la Taarifa:
|
Tahadhari
|
Kuanzia: Tarehe
|
11 Februari, 2014
|
Mpaka: Tarehe
|
13 Februari, 2014
|
Aina ya Tukio Linalotarajiwa
|
1. Vipindi vya mvua kubwa (zaidi ya
mm 50 ndani ya saa 24)
2. Hali ya Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa pamoja na mawimbi makubwa zaidi ya mita 2.0 |
Kiwango cha uhakika:
|
Wastani (60%)
|
Maeneo yanayotarajiwa
kuathirika |
1. Vipindi vya Mvua Kubwa: Ukanda wa
pwani mikoa ya Tanga,
Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba, Mbeya , Njombe, Ruvuma pamoja na kusini mwa mkoa wa Morogoro 2. Upepo Mkali na Mawimbi Makubwa: Pwani ya mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba |
Maelezo:
|
Hali hii inatokana na kuwepo kwa
kimbunga “FOBANE” kusini
magharibi mwa Bahari ya Hindi. Mfumo huu unatarajiwa kuvuta upepo kutoka Pwani ya Somalia na misitu ya Congo kuelekea maeneo ya nchi yetu. |
Angalizo:
|
Watumiaji wa bahari na wakazi wa
maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukua tahadhari.
|
Maelezo ya
Ziada
|
Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea
kufuatilia hali hii na itatoa
mrejeo pale itakapobidi |
No comments:
Post a Comment