SHULE mbalimbali za msingi katika mji
wa Tunduma wilaya ya Momba Mkoani Mbeya zinakabiliwa na msongamano mkubwa wa
watoto madarasani kutokana na ukosefu wa madawati na madarasa.
Hayo yamebainika katika ziara ya Katibu
wa CCM kata ya Tunduma, Hemed Stephen alipotembelea baadhi ya shule katika kata
hiyo Januari 15,mwaka huu akiambatana na kamati ya siasa na uchumi.
No comments:
Post a Comment