Mh. Said
Bwanamdogo enzi za uhai wake.
|
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mbunge wa
Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi
ya Mifupa MOI, alikokuwa amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya
Bunge inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa
marehemu.
Ofisi ya Bunge
inaendelea na Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndgu wa
marehemu
Source:JamiiForum
No comments:
Post a Comment