Kipa Shaaban Kado akiwaongoza wachezaji wenzake wa
Coastal Union kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es
Salaam jioni hii baada ya kuwasili kutoka Muscat, Oman walipoweka kambi ya wiki
mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara
unaoanza keshokutwa.
|
HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
Pages
Thursday, 23 January 2014
TAZAMA COASTAL UNION WALIVYOTUA NCHINI LEO WAKITOKEA OMAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment