HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA

HII NI KWA MARA YA KWANZA JIJINI TANGA
Tangaza biashara yako sasa uwafikie wateja wako kwa haraka na kwa gharama nafuu kupitia mfumo wa kisasa wa Digital Display Advertisement. Kupitia mfumo huu wateja wako watapata fursa ya kuona huduma zako na taarifa zote muhimu kupitia luninga kuwa za kisasa.

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA

KIJIWE KIPYA CHA BURUDANI JIJINI TANGA
MPANGO MZIMA WA KULA BATA UKO HAPA

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...

....HABARI NJEMA KWA AFYA YAKO...
.....tumia fursa yako vizuri....

Friday, 25 December 2015

BREAKING NEWS..FUSO LILILOBEBA WATU LAPATA AJALI MBAYA LUSHOTO.. 10 WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA..

Watu 10 wanahisiwa kupoteza maisha baada ya Fuso iliyotokea kwenye Maulidi katika kijiji cha Mgombezi kuanguka na kubingirika bondeni katika maeneo ya Soni Wilayani Lushoto mkoani Tanga.(Chanzo:jamiiforum)



 

No comments:

Post a Comment